
Fedha Nyingi Zilipita Mikononi Mwake..Lakini Uzee ulimkaribia Angali Hana Fedha Yoyote Mfukoni Mwake.Fedha Nyingi Zilipita Mikononi Mwake..Lakini Uzee ulimkaribia Angali Hana Fedha Yoyote Mfukoni Mwake.
Abneri alitoa jasho jingi kuhakikisha anapata fedha mikononi mwake. Alianza kupata sh 100,000 kila mwezi lakini baadye kipato chake kilikua na kufika zaidi ya milioni 2 kwa mwezi. Lakini wakati wote kila kipato alichokipata alikitumia kwa kununua vitu ambavyo vilipoteza fedha yake kabisa…na vingine viliendelea kuchukua fedha yake mfukoni. Alipofikisha [...]