Usitegemee muujiza wowote kama utaendelea kubaki ulivyoUsitegemee muujiza wowote kama utaendelea kubaki ulivyo
“Kitu kitaendelea kubaki katika hali yake ya utulivu kama hakutakuwa na nguvu yoyote kutoka nje itakayokifikia” Kanuni ya kwanza ya Newton ya mwendo. Jiwe lililoko juu ya ardhi litaendelea kubakia hapo hata bila ya kutikisika kama hakuna nguvu yoyote kutoka nje itakayolifikia. Kadhalika mguu wako hautasogea popote kama hakuna nguvu [...]