Fikra Zako Zisizoonekana Kwa Macho Ndizo Zilizojenga Maisha Yako Yanayoonekana Kwa MachoFikra Zako Zisizoonekana Kwa Macho Ndizo Zilizojenga Maisha Yako Yanayoonekana Kwa Macho
Kuna vitu tunavyoviona kwa macho na kuishia kuvishangaa, kuvipenda au kuvichukia. Vitu hivyo ni pamoja n vile ulivyovizalisha mwenyewe. Licha ya kuhusika kuvizalisha lakini wewe mwenyewe umekuwa mstari wa mbele kuvishangaa, kuvichukia na mara nyingine kuvidharau. Umeenda mbali zaidi kwa kuwalalamikia watu wengine bila kujua wewe ndiye uliyevizalisha. Vitu vyote [...]