Month: January 2022
Utafanikiwa Kuishi Maisha Yenye Mafanikio Makubwa Pale Utakapoanza Kutumia ‘User Manual’ Yako.Utafanikiwa Kuishi Maisha Yenye Mafanikio Makubwa Pale Utakapoanza Kutumia ‘User Manual’ Yako.
Kiwanda chochote baada ya kutengeneza kifaa chochote hasa vile vinavyotumia umeme hutengeneza mwongozo wa mtumiaji (user manual). Haya ni maelezo ya kina kuhusu kifaa hicho. Mwongozo wa mtumiaji huwa na vitu kama jina la kifaa, matumizi yake, namna ya kutumia, vifaa vingine vinavyoingiliana, shida unazoweza kukutana nazo na namna ya [...]
Boresha Vyanzo Hivi Sita(6) Ili Kuwa Na Maisha Bora ZaidiBoresha Vyanzo Hivi Sita(6) Ili Kuwa Na Maisha Bora Zaidi
Ubora wa mazao ya mimea hutegemea ubora wa ardhi ambako mimea hiyo imejishikisha. Ni kupitia udongo ambako mimea itapata mahitaji yote muhimu kama maji, virutubisho na sehemu ya kujishikisha ili iweze kustawi. Mahitaji haya ndiyo yanayohitajika ili mmea huo uweze kukua vizuri na kustawi na kuzaa matunda. Ubora wa mazao [...]
Mfahamu Leo Adui Namba Moja Anayekwamisha Mafanikio Yako.Mfahamu Leo Adui Namba Moja Anayekwamisha Mafanikio Yako.
Mikwamo mingi ya maisha ambayo umekuwa ukikutana nayo imetokana na adui yako ambaye amekuwa akifanya bidii kuhakikisha hupigi hatua. Kwa kipindi kirefu kuna maisha ambayo umeyatamani uyafikie lakini kila unapoanza adui huyo anakuja na kukupiga vita na umeishia njiani. Mara nyingine umefikiri kuwa jirani yako ndiye anayekupiga vita usipige hatua [...]
Ni Wakati Wa Kuweka Nguvu Kubwa Kabla Ya Kupata Mafanikio Makubwa.Ni Wakati Wa Kuweka Nguvu Kubwa Kabla Ya Kupata Mafanikio Makubwa.
Kabla ya ndege kuruka hukusanya nguvu kubwa kwa rubani kuiendesha kwa kasi kubwa ardhini kisha kuipaisha. Kabla gari halijashika kasi huwashwa na kuwekwa gia kubwa ili kuanza kujenga kupatia kasi kubwa. Kuna jambo kubwa ulilolianzisha au unatarajia kulifanya ili kuweza kupiga hatua. Matokeo makubwa unayoyaona, huwa yana mwanzo wake. Mwanzo [...]
Huwezi Kuonyesha Ufundi Wako Wa Kuogelea Kwa Kuogelea Mavumbini Rudi Majini.Huwezi Kuonyesha Ufundi Wako Wa Kuogelea Kwa Kuogelea Mavumbini Rudi Majini.
Ukiongelea ufundi wa kuogelea majini huwezi kuacha kumtaja samaki. Hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutembea majini na kuepuka vikwazo vyote vilivyomo. Licha ya uwezo huo mkubwa alionao samaki lakini hawezi kuuonyesha mavumbini. Ukimchukua samaki na kumweka nchi kazu unaweza kusema sio yeye yule anayeogelea kwa ufundi mkubwa [...]