SEMINA! SEMINA! ISHI MWAKA 2022 KWA MAFANIKIO MAKUBWA.
MADA: JINSI YA KUAMSHA UWEZO WAKO ILI KUTIMIZA KIKAMILIFU MALENGO YAKO
Je umekuwa ukianza mwaka kwa shangwe na hamasa kubwa lakini unaumaliza kwa unyonge mkubwa? Dawa imepatikana ya kuuishi mwaka huu kwa mafanikio makubwa. Mtandao wa Amsha Uwezo umekuandalia semina itakayokuwezesha kuishi mwaka 2022 na miaka inayofuata kwa ushindi mkubwa.
Kuwezesha hili AmshaUwezo imekuandalia semina ya siku kumi yenye kichwa JINSI YA KUAMSHA UWEZO WAKO ILI KUTIMIZA KIKAMILIFU MALENGO YAKO. Hii ni semina iliyosheheni masomo kumi yatakayo kuwezesha kuamsha uwezo wako ambao ndiyo mtaji pekee ambao tayari unao kwa ajili ya kutimiza malengo.
Somo hili limekuja kwa kutambua kuwa ni miaka mingi sasa umekuwa ukianza mwaka kwa hamasa kubwa ya kufanya makubwa lakini umekuwa ukimaliza mwaka kwa unyonge makubwa baada ya kutopiga hatua kabisa au kupiga hatua kidogo ukilinganisha na kile ulichostahili.
Ndugu yangu si kwamba wanaomaliza mwaka kwa shangwe za ushindi wana kitu cha ziada ambacho wewe huna, la hasha! Bali wamejenga tabia ambazo zinawasaidia kuamsha uwezo wao ambao unawasaidia kuwa na hamasa na nguvu ya kuchukua hatua mwaka mzima bila ya kuacha licha ya kukutana na changamoto kubwa.
Huu ni mwaka wako sasa wa kufanikiwa. Nakusihi ushiriki semina yenye masomo yatakayokuwezesha kuweka au kuboresha na kuwa na malengo bora, kisha kuweka mikakati ya kuhakikisha unayaisha malengo hayo, kuyatimiza kikamilifu kisha kuchuma matunda ya mafanikio uliyoyakosa miaka mingi.
Haya ndiyo masomo yatakayofanya mwaka huu kuwa wa tofauti kwako;
MADA: JINSI YA KUAMSHA UWEZO WAKO ILI KUTIMIZA KIKAMILIFU MALENGO YAKO
SOMO LA KWANZA: UWEZO
- Karibu Kwenye Semina
- Maana ya Uwezo
- Uhusiano wa Uwezo wako na Mafanikio yako
- Hatua Za Kuchukua Leo
SOMO LA PILI: MALENGO
- Aina Za Malengo
- Umuhimu Wa Kuweka Malengo
- Malengo Yenye Sifa Bora
- Hatua Za Kuchukua
SOMO LA TATU: KUWEKA MIPANGO YA KUTIMIZA MALENGO YAKO
- Gawa Malengo Kwenye Vipande
- Weka Mipango Ya Kutimiza Malengo Yako
- Ainisha Changamoto Zinazoweza Kujitokeza Na Namna Ya Kuzikabili
- Hatua Za Kuchukua Leo
SOMO LA NNE: IISHI SIKU YAKO KIKAMILIFU
- Umuhimu Wa Kuitumia Siku Yako Vyema
- Tengneza tabia za mafanikio
- Nguvu Ya Kufanya Kidogo Kidogo
- Hatua Za Kuchukua Leo
SOMO LA TANO: MUUJIZA WA ALFAJIRI
- Siri Ya Mafanikio Iliyopo Kwenye Kuwahi Kuamka
- Nini Ukifanye Alfajiri
- Jenga Tabia Ya Kuwahi Kuamka
- Hatua Za Kuchukua Leo
SOMO LA SITA: USTAHIMILIVU
- Zikabili Changamoto Badala Ya Kuzikimbia
- Jenga Hamasa Ya Kudumu
- Ishinde Hofu Ya Kushindwa
- Hatua Za Kuchukua Leo
SOMO LA SABA: TATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YAKO
- Umuhimu Wa Kufanya Tathmini
- Namba Za Mafanikio
- Jiboreshe Kila Siku
- Hatua Za Kuchukua Leo
SOMO LA NANE: TUMIA MUDA KWA UFANISNI MKUBWA
- Mafanikio Yako Yamejibanza Kwenye Muda
- Usiwe Busy Bali Uwe Na Tija
- Kanuni Ya Pareto(80/20)
- Hatua Za Kuchua Leo
SOMO LA TISA: EPUKA MTEGO WA FURSA MPYA
- Utajiri Wa Fursa
- Athari Za Tamaa Ya Fursa Mpya
- Namna Ya Kuepuka Fursa Mpya(Jifunze Kwa Simba)
- Hatua Za Kuchukua Leo
SOMO LA KUMI: SUMU YA MAFANIKIO YAKO YA SASA
- Ulevi Wa Mafanikio Yako Ya Sasa
- Tumia Mafanikio Yako Kama Ngazi Ya Kupandia Kilele Kingine
- Mafanikio Yasiyo Na Ukomo
- Hatua Za Kuchuka Leo
Seimina hii itafanyika kwa siku kumi kwa njia ya mtandao (Kundi maalumu la Wasap) kuanzia Tarehe 1 Machi mpaka Machi 10, 2022. Kila siku utajifunnza somo moja, ambapo kila siku asubuhi litawekwa somo la siku husika kwenye kundi la wasp na kupata muda wa kulisoma na kuchukua hatua unazopaswa kuchukua na kisha jioni kuanzia saa moja mpaka saa tatu usiku tutapata muda wa kujadiliana na kuuliza maswali.
Gharama ya kushiriki semina hii ni Tsh. 5,000(Elfu tano tu) kwa siku zote kumi. Hii ni sawa na bure ukilinganisha na thamani ya masomo unayoenda kuipata. Lakini kwa sababu nakujali wewe ndugu yangu, nimeweka kiasi hiki ili usiikose fursa hii. Jambo ninalokuamba leo ili usiikose fursa hii ni kujiunga kwanza na kundi hili kabla nafasi hazijaa. Unaweza kujiunga kwanza na ukalipia hapo baadaye. Kujiunga bonyeza kiunganishi hiki na utajiunga moja kwa moja
https://chat.whatsapp.com/LvfrGvlqf3KDeh5kLocvQC
Kwa mawasiliano zaidi usisite kuwasiliana nami kupitia namba za mawasilano hizo hapo chini.
Imeandaliwa na Alfred Mwanyika
Kocha na Mwalimu wa uwezo wako halisi
Mawasiliano;
Simu; 0752206899/0714301952
Barua pepe: alfred@amshauwezo.co.tz
Tovuti: www.amshauwezo.co.tz
I’m already onit
Sawa. Sadock
Karibu sana kaa mkao wa kula, imekaribia sana.
Alfred