Month: February 2022

Wewe Ndiye Unayeweka Mipaka Kwenye Kiwango Cha Mafanikio Unachotaka.Wewe Ndiye Unayeweka Mipaka Kwenye Kiwango Cha Mafanikio Unachotaka.

Ukiiangalia bahari huwezi kuuona mwisho wake. Ukiwa umesimama sehemu ambayo haina vizuizi unaweza kudhani kuwa mwisho wa dunia upo pale lakini kadri unavyosogea ndivyo unavyoona mwisho huo unazidi kusogea pia na kutoweza kuufikia. Kumbe kuna vitu duniani ambavyo si rahisi kuufikia mwisho wake. Muonekano wa vitu hivyo ndivyo ulivyo kwenye [...]

Jinsi Usivyoweza Kutengenisha Mafanikio Na Maarifa.Jinsi Usivyoweza Kutengenisha Mafanikio Na Maarifa.

Mafanikio na maarifa tungeweza kusema ni kurwa na doto, yaani mama yao ni mmoja. Hivi ni vitu viwili usivyoweza kutenganisha. Mafanikio imekuwa hamu ya watu wengi, lakini wale ambao wamejaribu kuyaacha maarifa nyuma, wameshindwa kupata kile walichokitamani. Kwa kuyatenga mafanikio, wengi wamashindwa kuishi maisha wanayostahili. Hata mafanikio hayo ambayo  mtu [...]

Kwa Nini Umejitahidi Kuwa ‘Busy’ Sana Lakini Bado Unapata Kiduchu?Kwa Nini Umejitahidi Kuwa ‘Busy’ Sana Lakini Bado Unapata Kiduchu?

Ukiamka asubuhi na kuenda mitaani utakutana na watu wengi sana wakitoka nyumbani kwao na kwenda kazini. Baada ya jua kuchwa kadhalika utakutana na watu wakiwa njiani pia wakirudi kwenye makazi yao, huku wakiwa wamechoka kuashiria wametumia nguvu kubwa kufanya kazi. Hiki ni kiashiria tosha kuwa watu wapo ‘busy’ wakifanya kazi. [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kupiga Hatua Kubwa Kwa Kuweka Tu Tarehe Ya Mwisho; “Deadline”.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kupiga Hatua Kubwa Kwa Kuweka Tu Tarehe Ya Mwisho; “Deadline”.

Wanamichezo wameshuhudiwa wakiwa na hamasa kubwa na kujiandaa kwa nguvu na umakini mkubwa zaidi siku chache kabla ya mashindano kuliko mwanzo hata kama walikuwa wanafahamu ratiba hiyo kwa muda mrefu. Wanafunzi wameshuhudiwa wakiwa na umakini zaidi, kutumia muda mwingi zaidi wa kujiandaa siku chache kabla ya mtihani hata kama ratiba [...]

Hii Ni Siri Ya Kupata Chochote Unachotaka Unayoweza Kujifunza Kwa Mtu Aliyekuwa Anakaribia Kufa Maji.Hii Ni Siri Ya Kupata Chochote Unachotaka Unayoweza Kujifunza Kwa Mtu Aliyekuwa Anakaribia Kufa Maji.

Kuna mtu mmoja alienda kuogelea ufukweni kama watu wengi wanavyoweza kwenda na kufanya hivyo. Alianza kwa kuogelea kwenye kina kifupi lakini kadri utamu wa maji ulivyozidi kuongezeka ndivyo alivyozidi kusogea kwenye kina kirefu bila kujua. Akiwa kwenye kina kirefu hali ya bahari ikachafuka na kuanza kukosa uwezo wa kuogelea vyema. [...]