Month: May 2022

Msimamo Unaojenga Mafanikio Ya Kudumu.Msimamo Unaojenga Mafanikio Ya Kudumu.

“Jani la mti lililoanguka kwenye mto, hutembezwa kwa kadri ya uelekeo wa maji. Linaweza kubamizwa kushoto, kulia na kusimamishwa popote”Dunia ina mipango mingi na hutafuta watu ambao hawana mipango na kuwapa. Bahati mbaya haikupatii mpango mmoja na kusubiri uimalize, bali huendelea kumpa mipango kila siku hata pale ambapo mpango wa [...]

Furaha Yako Ya Kweli Hailetwi Na Ndege.Furaha Yako Ya Kweli Hailetwi Na Ndege.

“Rangi ya nje ya chupa ya maji haiwezi kubadili rangi ya maji ndani yake” Kwa kawaida maji masafi hayana rangi. Hivyo mwonekano wa maji yakiwekwa kwenye chupa hutegemea rangi ya chupa hiyo. Yakiwekwa kwenye chupa nyekundu, nayo yataonekana mekundu, yakiwekwa kwenye chupa ya bluu, kadhalika nayo yataonekana ya bluu. Licha [...]

Kasi Kubwa Ya Kinyonga Hujulikana Pale Msitu Wake Unapochomwa Moto.Kasi Kubwa Ya Kinyonga Hujulikana Pale Msitu Wake Unapochomwa Moto.

Kinyonga ni kiumbe aliyopo duniani anayesemwa kuwa na mwendo wa pole pole na wa maringo. Ukimuona anatembea kutoka jani moja kwenda jingine, utadhani kuwa hana safari kwani muda mrefu utapita, lakini utaona kama amebakia palepale . Lakini habari huwa tofauti pale ajali inapotokea na hasa moto. Kama hujawahi kushuhudia upande [...]

Usihangaike Kunyoosha Kivuli Cha Mti; Nyoosha Mti Wenyewe.Usihangaike Kunyoosha Kivuli Cha Mti; Nyoosha Mti Wenyewe.

Itakuwa ni ajabu sana kwako kama utamuona mtu yupo ‘busy’ akijaribu kunyoosha kivuli cha mlingoti kwa sababu taswira yake inaonyesha imepinda akitarjia atafanikiwa kufanya hivyo na kuunyoosha mlingoti huo. Mtu huyo ungefikiri kuwa atakuwa na upungufu wa akili. Lakini jambo hili lipo katika jamii na ndilo linalochangia kushindwa kwa watu [...]