SEMINA! SEMINA! UNAWEZA KUTENGENEZA UTAJIRI WAKO SASA.
MADA: UWEZO WA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA YENYE MAFANIKIO.
Je yamekuwa ni matamanio yako ya siku nyingi kuwa na biashara yenye mafanikio makubwa lakini kila ukifikiria biashara gani uifanye lakini hupati wazo? Je umeanzisha biashara nyingi lakini hakuna iliyokua na kukupa mafanikio lakini zimeishia kufa? Je una biashara ambayo inapumulia mpira yaani ipo ICU na hujui ufanye nini?
Nina habari njema kwako kuwa dawa imepatikana, mtandao wa AmshaUwezo unaenda majibu ya maswali yote na kutibu majeraha hayo.
Kuwezesha hili AmshaUwezo imekuandalia semina ya siku kumi yenye kichwa UWEZO WA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA YENYE MAFANIKIO. Hii ni semina iliyosheheni masomo kumi yatakayo kuwezesha kuamusha uwezo wako uliolala na kuutumia kuanzisha na kukuaza biashara yenye mafanikio makubwa.
Seminahii imekuja kwa kutambua kuwa kila mtu ana haki na uwezo wa kuwa tajiri. Njia kuu na uhakika ya kufikia uutajiri huo ni kuwa na biashara yenye mafanikio makubwa. Licha ya njia ya kufika utajiri kujulikana lakini wengi wameshindwa kabisa kuianza safari na wengine wameianza lakini wapo njiani wakihangaika bila ya kuifika mwisho. Hii inamaanisha kuwa kuanza na kukuza biashara kwa mafanikio imekuwa changamoto kwa watu wengi.
Ndugu yangu si kwamba waliofanikiwa wana kitu cha ziada ambacho wewe huna la hasha! bali wametambua kuwa wana uwezo ndani yao wa kuanzisha na kukuza biashara mpaka kufikia mafanikio makubwa. Waliamsha uwezo wao na kupata mawazo mazuri ya biashara na kisha kuendelea kutumia uwezo wao huo mkubwa na kukuza biashara zao na kufikia mafanikio makubwa.
Muda wako umefika sasa, kupitia semina hii utatambua uwezo wako mkubwa ulionao wa kuwa na biashara. Pia utafundishwa namna bora ya kupata wazo bora la biashara, kuianzisha kisha kukikuza na kupata mafanikio mkubwa.
Haya ni maarifa uliyoyakosa kwa muda mrefu sana, usipange kukuosa nafasi hi muhimu ya kufanya mpinduzi makubwa ya maisha yako kupitia biashara yenye mafanikio.
MADA: UWEZO WA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA YENYE MAFANIKIO.
1. UTAJIRI NA BIASHARA
- Utajiri ni tamanio la watu wengi
- Dunia in utele, hakuna uhaba
- Biashara, njia kuu ya kufikia utajiri
2. UWEZO WA MWANADAMU KUFIKIA UTAJIRI
- Nguvu kubwa ambayo bado imelala ndani ya mwanadamu
- Amsha nguvu hiyo kufanya biashara yenye mafanikio
- Biashara inakupa unyumbulifu wa uwezo wako na kukupa utajiri
3. AJIRA NA BIASHARA
- Ugumu wa kuwa tajiri kwa kutegemea ajira pekee
- Unaweza kufanya vyote; ajira na biashara
- Faida za kufanya biashara ukiwa kwenye ajira
- Changamoto za kufanya vyote(ajira na biashara ) kwa pamoja
4. KUANZISHA BIASHARA
- Namna ya kupata wazo la biashara
- Mifano Biashara 10 unazoweza kuanzisha
- Misingi ya biashara(maono na mfumo)
- Maeneo ya biashara(Uzalishaji/uendeshaji,Fedha na usimamizi,Masoko na Mauzo)
5. UZALISHAJI WA BIDHAA/HUDUMA NA UENDESHAJI
- Umuhimu wa kuwa na mfumo wa uzalishaji bidhaa
- Ubora uzingatiwe wakati wa kuzalisha bidhaa
- Upatikanaji wa bidhaa na mpangilio
- Uthibiti wa bidhaa na huduma za uendeshaji
6. USIMAMIZI WA FEDHA
- Biashara yako inaweza kuzaa chuma ulete
- Fedha ni damu ya biashara yako
- Thibiti mzunguko wa fedha
7. MAUZO NA MASOKO
- Mauzo ni moyo wa biashara yako
- Njia za kuwafikia wateja
- Mambo ya kuzingatia ili uuze
8. KUKUZA BIASHARA YAKO
- Namba za biashara
- Tathmini biashara yako
9. VICHOCHEO VYA KUKUZA BIASHARA
- Malengo
- Nidhamu
- Thamani
- Kujitofautisha
- Uvumilivu
10. BIASHARA NA UWEKEZAJI
- Umuhimu wa biashara katika uwekezaji
- Maeneno ya uwekezaji
- Mambo ya kuzingatia katika uwekezaji
Seimina hii itafanyika kwa siku kumi kwa njia ya mtandao (Kundi maalumu la Wasap) kuanzia Tarehe 11 – 20 Julai, 2022. Kila siku utajifunza somo moja, ambapo kila siku asubuhi litawekwa somo la siku husika kwenye kundi la wasap na kupata muda wa kulisoma na kuchukua hatua unazopaswa kuchukua na kisha jioni kuanzia saa moja mpaka saa tatu usiku tutapata muda wa kujadiliana na kuuliza maswali.
Gharama ya kushiriki semina hii ni Tsh. 10,000(Elfu kumi tu) kwa siku zote kumi. Hii ni sawa na bure ukilinganisha na thamani ya masomo unayoenda kuipata. Lakini kwa sababu nakujali wewe ndugu yangu, nimeweka kiasi hiki ili usiikose fursa hii. Jambo ninalokuamba leo ili usiikose fursa hii ni kujiunga kwanza na kundi hili kabla nafasi hazijaa. Unaweza kujiunga kwanza na ukalipia hapo baadaye. Kujiunga bonyeza kiunganishi hiki na utajiunga moja kwa moja,
https://chat.whatsapp.com/CaoS3cbLqasJWIbPzcoyi7
Kwa mawasiliano zaidi usisite kuwasiliana nami kupitia namba za mawasilano hizo hapo chini.
Imeandaliwa na Alfred Mwanyika
Kocha na Mwalimu wa uwezo wako halisi
Mawasiliano;
Simu; 0752206899/0714301952
Barua pepe: alfred@amshauwezo.co.tz
Tovuti: www.amshauwezo.co.tz
Jun 21, 2022