Vitendo Vina Kelele Kuliko Maneno.Vitendo Vina Kelele Kuliko Maneno.
“Chuma hulia baada ya kupondwa na ngoma baada ya kudundwa. Kadhalika kipaza sauti hukuza sauti na si mawazo “ Miongoni mwa matamanio makubwa ya binadamu ni kutambulika na kuona ana umuhimu kwenye jamii. Kwa sababu ya matamanio haya watu wameweka bidii kuwaelezea watu jinsi ambavyo wangetamani kuwa hata pale ambapo [...]