Dawa Ya Pili Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Pili Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.
Hongera kwa kutambua dawa ya kwanza ya kutibu ugonjwa wako wa kushindwa. Kumbuka dawa hiyo ya kwanza ilikuwa ni kubadili mtazamo. Tuliona kuwa hakuna unachoweza kukibadilisha maishani mwako bila kubadili mtazamo kwanza. Hivyo huwezi kubadilika kutoka kwenye kushindwa na kwenda kwenye kushinda kama hutabadili mtazamo wako. Kama hukupata bahati ya [...]