Umeuongeza Uzito Mwenyewe.Umeuongeza Uzito Mwenyewe.
“Usishikilie Kinachokuumiza Kwa Muda Mrefu” Watu wengine walijifunza na kutua mizigo yao na wewe lisome somo hili kwa umakini mkubwa. Hakika hutateswa na mizigo hiyo kamwe. Akiwa kwenye mafunzo ya kukabiliana na maisha ya dunia hii iliyojaa kila aina ya changamoto na makwazo mengi dada mmoja alikuja na glasi ikiwa imejaa maji [...]