Month: April 2023

Usiache Kufanya Hili Hata Mara Moja , Isije Ikageuka Kuwa Tabia Yako.Usiache Kufanya Hili Hata Mara Moja , Isije Ikageuka Kuwa Tabia Yako.

Ndugu yangu,Wanasema mafanikio ni tabia. Kama kuna tabia za kufanikiwa basi kuna tabia za kushindwa pia. Ili uweze kujenga tabia yoyote unahitaji wa wastani wa siku 66. Baadhi ya tabia na watu huenda mpaka zaidi ya siku 200. Tabia za mafanikio ni kama;[ ] Kuchukua wajibu maisha yako[ ] Kukweka [...]

Umekalia Nini?Umekalia Nini?

Kuna ombaomba mmoja aliyejulikana kukuaa eneo fulani kwa muda mrefu huku akiwaomba watu wamsaidie. Katika eneo hilo alitumia boksi ambalo lilikuwa limefungwa na mfuniko kukalia. Licha ya kukalia boksi hilo kwa miaka mingi lakini hakuwahi kulifungua boksi hilo. Siku moja alikuja mtu mmoja msamalia akitaka kumpa fedha. Ombaomba huyo alimchangamkia [...]

Kama Hujafanya Maamuzi Basi Jibu Ni Hapana .Kama Hujafanya Maamuzi Basi Jibu Ni Hapana .

Ndugu chochote kilichotokea maishani mwako ni matokeo ya maamuzi yako. Kama umepata matokeo mazuri basi hongera kwa kufanya maamuzi sahihi. Kuna wakati umetakiwa ufanye maamuzi kwa kusema ndiyo au hapana, lakini hukufanya hivyo. Lakini hata wakati huo ulifanya maamuzi. Na maamuzi yako yalikuwa hapana. Maamuzi ni kitu kigumu ndiyo maana [...]

Fanya Kazi Ya Masaa 8 Kwa Saa 1.Fanya Kazi Ya Masaa 8 Kwa Saa 1.

Kama ufanisi wa kazi ungekuwa unapimwa kwa kiasi ambacho upo ‘busy’ basi leo u ungekuwa umefanikiwa sana. Bahati mbaya ufanisi wako unapimwa kwa matokeo unayoyazalisha. Umekuwa ukiamka ukiwa na nguvu lakini unarudi jioni ukiwa umechoka sana. Ukilinganisha nguvu na muda uliowekeza kisha matokeo uliyoyapata ni vitu viwili tofauti. Mara nyingi [...]

Kuna Maumivu Aina Mbili Mbele Yako; Chagua Moja Kwa Busara.Kuna Maumivu Aina Mbili Mbele Yako; Chagua Moja Kwa Busara.

Maisha ni kuchagua. Hakuna kitu ambacho huwa kinatokea kwa bahati mbaya, vingi huwa ni machaguo yako. Maisha uliyonayo sasa ni machagua yako ya siku za nyuma. Hata maumivu yana machaguo. Kuna machaguo makuu mawili ya maumivu, hayo ndiyo huleta mustakabali wa maisha yako. Busara yako ndiyo itaamua mwisho mwema au [...]

Umeuongeza Uzito Mwenyewe.Umeuongeza Uzito Mwenyewe.

“Usishikilie Kinachokuumiza Kwa Muda Mrefu” Watu wengine walijifunza na kutua mizigo yao na wewe lisome somo hili kwa umakini mkubwa. Hakika hutateswa na mizigo hiyo kamwe. Akiwa kwenye mafunzo ya kukabiliana na maisha ya dunia hii iliyojaa kila aina ya changamoto na makwazo mengi dada mmoja alikuja na glasi ikiwa imejaa maji [...]