Month: May 2023

0 Comment| 7:53 pm

Pale mtu anapolia machozi ni rahisi sana mtu mwingine kuyaona machozi hayo yakitiririka kutoka machoni kwenda mashavuni hata mpaka kwenye kidevu. Kama kuna mtu amekuwa akikusubiri upate shida afurahi ni rahisi sana kutambua kuwa muda wake umefika wa yeye kufurahi. Kadhalika kama kuna mtu alikuwa anakutegemea wewe kama shujaa wake, [...]

Usikubali Kutumbukia Kwenye Shimo Hili Kwa Hiari…..Usikubali Kutumbukia Kwenye Shimo Hili Kwa Hiari…..

Matamanio ya mafanikio na mafanikio yenyewe havipo pamoja. Kuna safari ya kuiendea ili kuweza kuyafikia mafanikio hayo. Lakini watu wengi wamekuwa hawaifiki safari hiyo kwa sababu ya kuishia njiani. Katika ya matamanio hayo na mafanikio hayo kuna mashimo mengi ambapo mtu hutakiwa kuyakwepa ili kuweza kuyafikia mafanikio makubwa maishani mwake. [...]

Haya Ni Mambo Sita Ya Kukomaza Akili Yako .Haya Ni Mambo Sita Ya Kukomaza Akili Yako .

Akili ni mwanzo wa mafanikio yako. Ili uweze kukuza mafanikio yako huna budi kuanza kwa kukuza akili yako kwani huko ndiko mawazo yenye thamani kubwa yanakotokea. Zifuatazo nia njia unazoweza kutumia ili kukuza akilia yako; Kuna jinsi upo na unahisi umeshindwa kwa sababu kuna vitu huna. Usikae sana kujilaumu na [...]

Si Ukamilifu…..Bali Upekee.Si Ukamilifu…..Bali Upekee.

Bahari ni kubwa na nzuri lakini ina chumvi na giza kwenye kina kirefu. Anga huonekana lipo mbali sana lakini kila wakati hufunikwa na mawimgu. Licha ya uzuri wa mwezi lakini huwa na shimo katikati. Haya yalikuwa ni majibu ya Bobby Marley, mwanamziki nguli alipoulizwa kama kuna mwanamke kamili. Baada ya [...]

Ugunduzi Wa Kwanza Kabisa Hapa Duniani Wa Kubadili Maisha Yako.Ugunduzi Wa Kwanza Kabisa Hapa Duniani Wa Kubadili Maisha Yako.

Kuna gunduzi nyingi sana zimetokea hapa duniani kabla na hata baada ya kuzaliwa. Kuna ugunduzi kama wa ndege, meli, taa za umeme, kompyuta nk Gunduzi hizo hapo juu zinaweza zisiwe na athari za moja kwa moja kwako. Lakini kuna ugunduzi mmoja ambao una athari ya moja kwa moja kwako. Ukiufahamu [...]

*Hivi Ndivyo Ulivyojihakikishia Kutopata Mafanikio Bila Ya Wewe Kujua!**Hivi Ndivyo Ulivyojihakikishia Kutopata Mafanikio Bila Ya Wewe Kujua!*

Kwenye kupata mafanikio, kila mtu ana nafasi sawa. Hakuna mtu aliyependelewa. Lakini licha ya kuwa na nafasi sawa, bado kuna watu wanopata mafanikio wakati wengine wakishindwa. Kama bado upo hai una nafasi ya kupata kile unachokitaka kwani unaweza kuweka malengo, mipango na nidhamu kisha kupata kile unachotaka. Lakini kuna kitu [...]

Je Unataka Kufanikiwa? Basi Ingia Kwenye Kundi(3%) La Watu Hawa.Je Unataka Kufanikiwa? Basi Ingia Kwenye Kundi(3%) La Watu Hawa.

Ukilinganisha idadi ya watu wanataka kufanikiwa na wale waliofanikiwa ni mbingu na nchi. Licha ya tamaa ya watu kutaka kufanikiwa ni wachache sana wanaofanikiwa. Kutotakana na utafiti ulifanyika chuo kikuuu cha Havard kuhusu malengo na mafanikio, ilionekana kuwa kuna kundi dogo la 3% lilikuwa la kipekee. Katika utafiti huo 84% [...]