Month: June 2023

Hiki Ndicho Kinachotokeo Unapoanza Na Kuendelea Kusoma VitabuHiki Ndicho Kinachotokeo Unapoanza Na Kuendelea Kusoma Vitabu

Kama unajua kusoma lakini husomi vitabu ni sawa tu na mtu asiyeweza kusoma. Kama unapata muda wa kula halafu unasema huna muda wa kusoma hujitendei haki kwa kiwango kikubwa sana. Kauli hizi mbili zitoshe kuonyesha ni kwa namna gani usomaji hasa wa vitabu ulivyo muhimu sana katika maisha yako. Usomaji [...]

Usikatishe Safari Kwa Sababu Umepitwa….Usikatishe Safari Kwa Sababu Umepitwa….

Kama utakuwa kwenye gari la abiria halafu ghafla dreva akasimama na kusema tunaahirisha safari kwa sababu kuna gari linelipita(overtake) gari lake na yeye hapendi hilo, ungemshangaa sana. Kama ungemuona mwanariadha ameacha mashindano kwa sababu tu kuna mtu amempita na yeye hakupenda hilo, ungemshangaa sana. Inawezekana ungemuuliza kama kweli alidhamiria mashindano [...]

Kinachoharibu Chuma Ndicho Kinachokuharibu Wewe…UsikubaliKinachoharibu Chuma Ndicho Kinachokuharibu Wewe…Usikubali

Chuma hata kinachong’aa sana kikiachwa bila kutuzwa, ni suala la muda tu kitaharibika hata kupotea kabisa. Hujawahi kusikia chuma kikilalamika kuwa ni nani amekiharibu kwa sababu kinajua ni chenyewe ndicho kilisababisha kuharibika kwake. Kinachoharibu chuma ni kutu inayotengenezwa na kutanda chuma hicho. Lakini ili kutu ikipate chuma, ni lazima chuma [...]

Ziishi Siri Hizi Tano(5) za Matajiri Ili Na Wewe Uanze Kuuvuta Utajiri Wako……Ziishi Siri Hizi Tano(5) za Matajiri Ili Na Wewe Uanze Kuuvuta Utajiri Wako……

Kama kuna kitu ambacho wengi wanatamani kitokee maishani mwao basi ni utajiri tena utajiri wa fedha na mali. Lakini kama kuna kitu ambacho watu wengi wanakikosa licha ya kukitamani sana basi ni utajiri. Watu wachache tu kati ya wengi wanaoutamani utajiri ndiyo wanaofanikiwa kuupata utajiri huo. Hapa kutakuwa na siri [...]

Kutokuchukua Hatari Ni hatari Zaidi……Kutokuchukua Hatari Ni hatari Zaidi……

“Kama mgonjwa atafanikiwa kuzuia kutochomwa sindano kwa sababu ya kuogopa maumivu anayoweza kuyapata basi ana hatari kubwa ya kupoteza maisha yake” Kuchukua hatari kuna maumivu. Maumivu makuu yamejengwa kwenye misingi miwili mikuu. Kwanza ni kulazimishwa kutoka nje ya mazoea. Pili ni kutokuwa na uhakika wa matokeo. Kuchukua hatari ni kufanya [...]