Semina! Semina! Semina! Semina! Semina! Semina!
PIGA ‘U-TURN’ 101 ZA MAISHA YAKO
“Badili uelekeo wa maisha yako kupata mabadiliko unayostahili maishani mwako”
Baada ya dreva kutambua kuwa uelekeo anaoliendesha gari siyo sahihi bali kinyume chake ndiyo uelekeo sahihi, huchukua uamuzi wa kuitafuta U-TURN kisha kulikunja gari na kuanza kuelekea uelekeo sahihi. Ni hatua moja tu huifanya lakini humpa usahihi na mafanikio kwa takribani asilimia mia moja(100%).
Vivo hivyo kama upo barabarani na ukahisi umepotea, njia pekee ya kukuwezesha kufika eneo sahihi huwa inakuwa ni kugeuka nyuma kisha kuanza kwenda sasa uelekeo sahihi.
Ndugu! Umekuwa unapata matokeo hafifu au ya kushindwa kabisa katika maisha yako. Lakini kanuni ya usababishi inasema kwenye kila matokeo kuna kisababishi. Hivyo kama unapata matokeo ya kushindwa basi tambua kuwa kuna kisababishi cha kushindwa. Kushindwa ni kinyume cha kushinda, hivyo hata kama unachora mistari ina maana uelekeo wake utakuwa kinyume chake.
Kushindwa kwako kunatokana na uelekeo tofauti wa matendo yako ambayo ni tofauti na matendo ya kushinda. Kama ilivyo kwa dreva wa gari kuwa baada ya kupotea anatakiwa kupiga U-TURN ili kuupata uelekeo sahihi ndivyo ilivyo kwako, huna budi kubadili uelekeo wa hatua unazochukua ili uweze kupata matokeo sahihi unayostahili.
Kwa kuwa tunajiali mafanikio yako, AMSHAUWEZO Consultants imekuandalia semina ya siku kumi. Semina hii inaenda na kichwa ‘PIGA U-TURN 101 ZA MAISHA YAKO’ itakayofanyika kuanzia Julai 20 – 29 ,2023 kwa njia ya kundi maalumu la wasap.
Kwenye semina hii utajifunza U-TURN 101 za kupiga maishani mwako kisha kuanza kupata matokeo ya tofauti kabisa maishani mwako. U-TUNRS hivi zitagusa maeneo kumi ya maisha yako. Hizi ni U-TURNS ambazo zitabadilisha maisha yako kabisa. Kwani ukigeuka tu katika utendaji wako lazima upate matokeo tofauti kama kanuni ya usababishi inavyosema.
Maeneno ambayo utapiga U-TURN ni yafuatayo;
1. BINAFSI
2. FIKRA
3. FEDHA/UTAJIRI
4. AFYA
5. KAZI
6. BIASHARA
7. NIDHAMU
8. MAHUSIANO/JAMII
9. UWEKEZAJI
10. UTIMILIFU
Kama kweli unahitaji mabadiliko ya kweli katika maisha yako hii semina siyo ya kukosa. Jihakikishie nafasi yako kwa kulipia mapema ada mapema. Ada ya semina hii ni sh. elfu kumi (sh. 10,000/) tu ambayo unalipia kupitia Mpesa: 0752 206 899 (Alfred Mwanyika).
Pata picha unatumia sh. 10,000/- kustawisha kila eneo la maisha yako, utajisikiaje rafiki? Usipange kukosa. Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na;
Mwl. Alfred Mwanyika,
CEO: AMSHAUWEZO Consultants,
Simu: 0752 206 899: Email: alfredgeofrey@gamail.com
www.amshauwezo.co.tz
Karibu sana.