Month: September 2023

Siri Ya Kuwa Mtu Mwenye Makali.Siri Ya Kuwa Mtu Mwenye Makali.

Kisu kinachosifika kuwa na makali ni kile kilichukubali kupunguza unene wake kisha kubakia na ncha ndogo sana. Msumari hufanikiwa kupenyeza kwenye mbao na hata zege kwa sababu licha ya ugumu wake lakini hukubali kupunguza nyama zake kisha kuchongoka kwenye ncha mojawapo. Kadhalika mwiba ni mkali sana kwa sababu ya baadhi [...]

Usihangaike Huko, Ukubwa Wako Upo Hapa……Usihangaike Huko, Ukubwa Wako Upo Hapa……

Kama ukubwa ungeangaliwa kama umbo basi nyuki angesahaulika kabisa kwenye orodha licha ya asali yenye thamani kubwa anayoitengeneza Je umekuwa ukihangaika sana na kwa muda mrefu kutafuta nini ufanye ili maisha yako yawe na mafaniko makubwa ? Je umekuwa  ukifanya mjaribio mengi nini ukifanye ili uwe na mchango kwenye dunia [...]

Yaache Mambo Haya Sita Upate Matokeo Ya Utofauti.Yaache Mambo Haya Sita Upate Matokeo Ya Utofauti.

Kama kuna matokeo ya mafanikio umekuwa ukiyatafuta na huyapati basi kuna na mambo umekuwa ukiyafanya ambayo yanakupa matokeo usiyoyataka. Njia pekee ya kuanza kupata matokeo tofauti na yale ni kuacha kufanya mambo hayo kisha kuanza kufanya tofauti na vile ulivyozoea. Yafuatayo ni mambo ambayo ukiacha kuyafanya kisha ukaanza kufanya kinyume [...]

Hapo Ndipo Utaanza Kuishi…….Hapo Ndipo Utaanza Kuishi…….

Baada ya kusoma kichwa hapo juu kuna swali litakuwa limekuja kichwani mwako mara moja, je ina maana sijaanza kuishi angali nimezaliwa siku nyingi zilizopita? Kuna uwezekano mkubwa kuwa hujaanza kuishi licha ya kuwepo hapa duniani kwa muda mrefu. Kuna ukuta ambao upo mbele yako uliogawa maisha yako pande mbili. Kuna [...]

Epuka Kifungo Hiki Ili Uishi Kikamilifu…Epuka Kifungo Hiki Ili Uishi Kikamilifu…

Maisha yako mwanadamu ni muda unaopewa uishi hapa duniani. Ni kipindi cha uhai wako ndipo unapoweza kufanya chochote unachotaka.  Baada ya kufa, hakuna historia mpya unayoweza kuitengeneza. Lakini kumbuka kuwa maisha yako yamewekwa katika vipindi mbalimbali.  Kuna vipindi vigumu na rahisi, kulia na kucheka, kusogezwa na kutengwa, kukubaliwa na kukataliwa, [...]