Month: September 2023
Je Utaweza Kuruka Kama Tawi Litavunjika?Je Utaweza Kuruka Kama Tawi Litavunjika?
Siku moja nilikuwa nimekaa chini ya mti nikitafakari juu ya maisha ya mwanadamu, ghafla akaja ndege ambaye alinipa funzo kubwa sana. Ndege huyo alitua kwenye tawi ambalo lilikuwa linakaribia kukatika. Kila alipokuwa anatua, tawi hilo liliendelea kuinana likionyesha kila dalili ya kutaka kukatika. Lakini ndege yule aliendelea kung’ang’ania kusimama kwenye [...]
Vua Kinyago Chako Ujione Wewe Halisi.Vua Kinyago Chako Ujione Wewe Halisi.
Gogo au jiwe ambalo umekuwa ukilipita kila siku litakuwa kinyago kinachopendeza, chenye thamani na kitakachokushangaza baada ya mchongaji kutoa maganda yaliyokuwa yanakizuia. Mtu akivaa kinyago hubadilika sura kabisa na kuwa kitu kingine. Watu wamekuwa wakivaa vinyago na kuficha uhalisia wao . Hii ni kwa nia njema au mbaya. Habari mbaya [...]
Kutikiswa Ndiyo Kukaa Sawa .Kutikiswa Ndiyo Kukaa Sawa .
Baada ya kuweka mahindi kwenye gunia, hutikiswa kwa kulizungusha gunia na mzigo wake kushoto na kulia huku likinyanyliwa juu kidogo. Kitendo hicho hufanya punje za mahindi kukujipanga vizuri. Lakini kuna nafasi juu ya gunia hupatikana baada ya kutikisa. Hii hutoa fursa ya kuongeza mahindi mengine kwenye gunia hilo. Mitikisiko pia [...]