Toa Shingo Uone Mazuri Zaidi.Toa Shingo Uone Mazuri Zaidi.
Kobe huwa anakuwa na machagua mawili. Ama afiche shingo yake kwenye nyumba yake na kubaki palepale au atoe shingo yake na kuona vitu vipya kisha kwenda mbele. Asipotoa shingo yake maana yake ataendelea kubaki palepale kwani hataona njia ya kuiendea. Pia hakuna kitu kipya atakachoona zaidi ya kile kilichopo ndani [...]