Day: October 11, 2023
Kifanye Hiki Ili Usije Kujuta Baadaye.Kifanye Hiki Ili Usije Kujuta Baadaye.
Majuto ni mjukuu. Ukiona mtu anajuta basi tambua kuna kitu hakukifanya. Bahati mbaya majuto huja baada ya muda kupita. Hivyo inakuwa bahati kwako kutambua kitu ambacho usipofanya utajuta kisha ukajisukuma kukifanya ili usijute mbeleni. Leo nakushirikisha kitu muhimu sana cha wewe kukifanya ambacho watu wengi wamekuwa hawakifanyi na kimeleta majuto [...]