Month: November 2023
Kumbe Huo Sio Mwisho Wako!Kumbe Huo Sio Mwisho Wako!
Mtafiti mmoja kutoka Chuo Kikuuu cha Harvard alifanya jaribio kujua ni kwa muda gani panya anaweza kuogelea na kustahimili bila kufa? Ilikuwa inafahamika kuwa kwa kawaida panya huchukua dakika 15 kujitahidi kujiokoa kwenye maji kabla hajachoka na kufa. Kwenye jaribio hili aliamua kufanya kwa utofauti kidogo. Alichukua panya kadhaa kisha [...]
Tengeneza Funguo Hizi Nne Kufungua Mafanikio Yako.Tengeneza Funguo Hizi Nne Kufungua Mafanikio Yako.
Je umekuwa ukiyaota mafanikio makubwa kwa miaka mingi lakini imeendelea kuwa ndoto ya mchana tu? Je umejaribisha njia nyingi kuyapata mafanikio hayo lakini bado hujapata kile unachokitamani? Usiwe na wasiwasi, kwa sababu ungali hai, tengeneza funguo hizi nne ili kufungulia mafanikio makubwa kwenye maisha yako. 1. Fanya kazi. Kazi ni [...]
Hii Ndiyo Siri Ya Kuwa Mshindi Mbele Ya Changamoto Yoyote Ile.Hii Ndiyo Siri Ya Kuwa Mshindi Mbele Ya Changamoto Yoyote Ile.
Hakuna safari ya mafanikio isiyokuwa na changamoto. Kila ulipoweka malengo yako na kuamini matokeo yake yatakupeleka hatua nzuri zaidi, vikwazo vikaibuka na kukuzuia. Hali ya kushindwa kwenye maisha yako ni kutokana na jinsi ulivyokubali kupigwa na changamoto ambazo zimekuwa zikisimama mbele ya jitihada zako. Umejaribu kwa njia mbalimbali kujinasua, lakini [...]
Vitu Vitatu Vya Kukupa Mafanikio.Vitu Vitatu Vya Kukupa Mafanikio.
Mafanikio ni ndoto ya watu wengi, lakini mafanikio ni ndoto isiyotimia kwa watu wengi. Wapo ambao wameweka nguvu kubwa sana wakitafuta mafanikio, lakini wameishia kuambulia kiduchu. Kumbe kuna viungo vingine vinavyokuwa vinakosekana. Katika mafaniko yoyote yale unayoyataka, kuna vitu vitatu ambavyo ukiviunganisha pamoja vitakupa mafanikio. Vitu hivyo ni; unachokifanya, unafanya [...]
Usife Ungali Hai!Usife Ungali Hai!
Kuna hali ambazo ulipitia, unapitia au unazo zinazokufanya uone maisha yako yamefika mwisho. Unaona kama umeshakufa wakati bado upo hai. Huku ni kukata tamaa ukiona kuwa hakuna kitu kingine unachoweza kufanya na kupata matokeo ya utofauti. Ni kama imefika hatua unaona unasubiri kufa katika mazingira tofauti ya maisha; kipato, kazi, [...]
Siri 5 Zitakazokupa Maisha Ya Uhuru Na Mafanikio Makubwa.Siri 5 Zitakazokupa Maisha Ya Uhuru Na Mafanikio Makubwa.
Picha hii ilete mapinduzi makubwa katika maisha yako. Jifunze siri tano kutoka kwenye picha hiyo; Soma tena pointi hizi tano huku ukizitafakari kwa kina. Kila utakapovuta pumzi kumbuka kuwa hakuna kitu ulichonacho kitakachodumu milele. Kitabu cha DONDOO 366 ZA MAISHA YA MAFANIKIO kitakufanya kuiishi kila siku kwa mafanikio makubwa. Utasoma [...]
Mambo Ya Kuzingatia Ili Uweze Kukokotoa Faida Ya Biashara Yako.Mambo Ya Kuzingatia Ili Uweze Kukokotoa Faida Ya Biashara Yako.
Je biashara yako inatengeneza faida? Wala sijui! Biashara nyingi zimekuwa zikiendeshwa bila kujua kama zinatengeneza faida au la! Kwa kutokujua hivyo watu wameendelea kufanya biashara miaka nenda miaka rudi lakini wakiona wapo paleple. Biashara hukua pale inapokuwa na mzunguko chanya, yaani fedha inayoingia kwenye biashara inapokuwa kubwa kuliko inayotoka. Ili [...]