Jinasue Kwenye Mitego Hii Mitano Ili Kutengeneza Toleo Lako Bora Kuwahi Kutokea.Jinasue Kwenye Mitego Hii Mitano Ili Kutengeneza Toleo Lako Bora Kuwahi Kutokea.
Nataka kuwa na maisha bora! Hili limekuwa ni tamanio la watu wengi ambalo halitimii. Kwa sababu ya tamanio hili kutotimia kwa watu wengi, umefika wakati umejifariji kwa kuona kuwa maisha bora ni kwa ajili ya watu fulani wachache tu. Kuwa na maisha bora na kuwa mtu yule uliyetarajiwa kuwa na [...]