Je Na Wewe Utakuwa Miongoni Mwa Watu Wataokuwa Wanajuta Kwa Sababu Hawakufanya Hivi….?Je Na Wewe Utakuwa Miongoni Mwa Watu Wataokuwa Wanajuta Kwa Sababu Hawakufanya Hivi….?
Mark Twain alisema “Twenty years from now you will be more disappointed by the things you didnot do than by the ones you did” ikiwa na tafsiri kuwa miaka ishirini kutoka sasa utakuwa utahuzunishwa na vitu ambavyo hukufanya kuliko vile ulivyofanya. Kabla hujafikiri miaka 20 ijayo, fikiri miaka 20 iliyopita; [...]