Kazi Ya Kwanza Kabisa Ya kufanya Ili Biashara Yako Isife.
Ni masikitiko makubwa ! 80% ya biashara nyingi hufa ndani ya miaka 2 tangu kuanzishwa.
Njia pekee ya kuinusuru biashara yako ni kufanya mauzo.
Mauzo ndiyo yataifanya biashara yako kuendelea kuwa hai.
Lakini ni 3% tu ya wateja ndiyo wapo tayari kuja kununua kwenye biashara yako na ya jirani yako.
Kama huuzi basi sababu mojawapo inaweza kuwa unakaa tu kwenye biashara yako ukisubiri wateja waje wanunue.
Ili kuwapata wateja wengi na kuwa na mauzo makubwa. Usitegemee wateja wanaokuja wenyewe tu kwenye biashara yako. Badala ya wafikie kwa;
[ ] Kuwapigia simu.
[ ] Kuwatembelea.
[ ] Kuwatumia ujumbe.
[ ] Kufanya matangazo kwenye vyombo vya habari.
[ ] Kugawa vipeperushi.
[ ] Kutangaza biashara yako kwenye mikusanyiko…..
Linda uhai wa biashara yako kwa kuwafikia wateja wengi zaidi.
Kitabu cha UWEZO WA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA YAKO ni msaada mkubwa zaidi wa kukupa mwongozo wa kuwafikia wateja wengi zaidi kisha kukuza mauzo.
Jipatie kitabu chako sasa. Wasiliana nasi kupitia 0752 206 899. Kuna nakala chache za ofa zilizobaki. Wahi bahati yako.
“Unastahili Zaidi Ya Unachokipata Sasa”
Karibu sana.
Imeandikwa na Alfred Mwanyika,
Mwl. & Kocha (Uwezo Wako Halisi & Mafanikio),
Mawasiliano;Simu 0752206899/0714301952
Barua pepe: alfred@amshauwezo.co.tz
Tovuti: www.amshauwezo.co.tz