Usikubali Kuwa Mtumwa Maisha Yako Yote…Anza Kutengeneza Uhuru Wako Sasa..
Fedha ni vitu vingi na ndiyo maana unalala kwenye kitanda ulichonunua kwa fedha na unaamka unaenda kupiga mswaki kwa mswaki na dawa uliyonunua kwa fedha.
Hii imekufanya muda mwingi wa maisha yako uwaze kuhusu fedha.
Je kipato chako huwa kinatosheleza matumizi yako yote ya lazima?
Je pale unapopata dharura inayohitaji fedha huwa unaitatua kirahisi au huwa inakulazimu uchukue mkopo mbaya?
Je huwa unafanikiwa kuweka akiba kwenye kipato chako?
Je kuna fedha ya dharura uliyoiweka mpka sasa kiasi kwamba usipofanya kazi kwa miezi sita utaendelea kuishi maisha yako uliyoyazoea bila shida yoyote ?
Je kuna uwekezaji unaoufanya ili siku nguvu zako zikipungua, uwekezaji huo uwe unakufanyia kazi?
Je fedha imekuwa kikwazo kwako cha kwenda na familia sehemu mbalimbali za dunia kwa ajili ya mapumziko na utalii?
Je unavyoona utatakiwa kufanya kazi siku zote za uhai wako kwani usipofanya hivyo maisha yako yatasimama?
Kama majibu ya maswali hayo hapo juu ni NDIYO basi tambua kuwa upo kwenye mazingira ya kuwa mtumwa wa fedha.
Hii ni kwa sababu itakulazimu wewe ufanye kazi muda wote kutafuta fedha.
Kama unatamani siku moja uwe huru; fedha zifanya kazi kwa niaba yako kukupa fedha zaidi,
AU
Kuwa na muda mzuri wa kukaa na wapendwa wako, kufanya vile unavyovipenda hata kama bila kulipwa au kusafiri kokote utakako;
BASI
Unahitaji kujenga uhuru wa kifedha. Hii ni kuwa na uwekezaji utakaokuwa unakuzalishia fedha bila ya wewe kufanya kazi.
Uhuru huu utajifunza kisha kuanza kuujenga kwenye semina inayoitwa SAFARI KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA. Itafanyika kwa siku 10 kwa njia ya kundi maalumu la wasap kuanzia tar 18.03.2024 mpaka 27.03.2024.
Hiki ni kitu unachohitaji sana maishani mwako. Fursa na wakati vimefika, ni sasa. Ada ya semina hii ni sh. 10,000/ yaani sh 1,000/ tu kwa siku. Hii ni bahati kwako. Fanya malipo yako kwa mpesa: 0752 206 899(Alfred Mwanyika).
Ili kujihakikishia nafasi chache zilizopo jiunge sasa kwa kubonyeza kiunganishi hiki https://chat.whatsapp.com/Lmel6ehEr30K5a1S1BCEYu
Usipange kukosa. Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na;
Mwl. Alfred Mwanyika,
CEO: AMSHAUWEZO Consultants,
Simu: 0752 206 899: Email: alfredgeofrey@gamail.com
www.amshauwezo.co.tz
Karibu sana.