Uwekezaji Si Kwa Ajili Ya Watu Wenye Fedha Nyingi Tu! Hata wewe Unaweza Kuanza Kuwekeza Ukiwa na Sh. 10,000 Tu!


Categories :

Je wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi tu?

Je wewe ni miongoni mwa watu ambao fedha nyingi zimepita mikononi mwao, lakini hawajafanya uwekezaji wowote na hata hivyo zilishatoroka mikononi mwao?

Je wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakisubiri wawe na fedha nyingi ndipo waanze kuwekeza?

Unajidanganya, na utasubiri sana! Hata wewe unayejiona huna fedha za kutosha, una nafasi ya kuanza kuwekeza sasa.

Kuanza uwekezaji ni maarifa na tabia wala si wingi wa fedha(kianzio).

Utajisikiaje kama utajifunza namna ya  kuanza uwekezaji ambao utakupa uhuru wa kifedha hata kwa sh 10,000/ uliyonayo?……

Naamini utajisikia vizuri……

Habari njema ni kuwa AMSHAUWEZO Consultants wamekuandalia semina; SAFARI KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA ambapo miongoni mwa masomo 10 utakayojifunza mojawapo ni jinsi unavyoweza kuanza kuwekeza kwenye  makampuni hata kwa sh 10,000/ uliyonayo.

Kweli hii ni habari njema!

Semina hii itafanyika kwa njia ya kundi maalumu la wasap kuanzia tar 18.03.2024 mpaka 27.03.2024.

Hiki ni kitu unachohitaji sana maishani mwako. Fursa na wakati vimefika, ni sasa. Ada ya semina hii ni sh. 10,000/ yaani sh 1,000/ tu kwa siku. Hii ni bahati kwako. Fanya malipo yako kwa mpesa: 0752 206 899(Alfred Mwanyika).

Ili kujihakikishia nafasi chache zilizopo jiunge sasa kwa kubonyeza kiunganishi hiki https://chat.whatsapp.com/Lmel6ehEr30K5a1S1BCEYu

Usipange kukosa. Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na;

Mwl. Alfred Mwanyika,

CEO: AMSHAUWEZO Consultants,

Simu: 0752 206 899: Email: alfredgeofrey@gamail.com
www.amshauwezo.co.tz

Karibu sana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *