Jifunze Kwa Tai Ufanikiwe Sana.
Categories :
TABIA 1/7;
Tai hupaa juu sana angani ambako kunguru na shomoro hawawezi kumfikia.
[ ] Hufanya hivyo ili kunguru na shomoro wasizomee kama wanavyomfanyia mwewe.
[ ] Tengeneza maono makubwa ili usiathiriwe na ukawaida.
[ ] Jitenge na kelele za dunia, usije ukaambiwa huwezi kisha ukaamini.
[ ] Kuwa ‘the best’ kwenye unachokifanya ili kupunguza ushindani.
[ ] Utafikia ubora wa juu sana kwa kupanga makubwa, kufanya na kujisahihisha kila siku.
“Wewe ni wa juu sana, panda kwenye anga lako”
Usikose Tabia ya 2/7 kesho.
Mwl. Alfred Mwanyika
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz