Husogei Kwa Sababu Umefujifungia Kwenye Uraibu Huu….Husogei Kwa Sababu Umefujifungia Kwenye Uraibu Huu….
Umesikia uraibu wa pombe, sigara au madawa ya kulevya kisha ukajipiga kifua kuwa wewe huko hupo. [ ] Lakini kuna uraibu mmoja ambao umeujenga na ndiyo uliokukwamisha usipige hatua kwenye maisha yako. [ ] Huo ndiyi uliokufanya uendelee kufanya mambo ya kawaida ambayo yamekufanya kuwa mtu wa kawaida tu. [ [...]