Maeneo Matano(5) Muhimu Ya Kuwekeza Katika Maisha Yako.Maeneo Matano(5) Muhimu Ya Kuwekeza Katika Maisha Yako.
1. MAARIFA: Lisha akili yako maarifa sahihi. Huu ni mwanzo wa kuchukua hatua sahihi. Soma vitabu, hudhuria semina, soma makala… 2. AFYA: Fanya mazoezi, kula vizuri kisha lala (wastani wa masaa 6). 3. KAZI: Weka kazi kubwa kwenye kile sahihi unachokipenda. Kazi ni rafiki wa kweli hatakusaliti, ukiambatana naye atakupa [...]