Ndipo Kikombe Cha Mafanikio Yako Kitakapofurika …..


Categories :

[  ] Je umekuwa unajiuliza unawezaje kujenga mafanikio makubwa maishani mwako?

[  ] Basi jibu ni kuwa mafanikio hayo yapo kwenye jitihada ndogo usizozichukua na matokeo madogo unayoyadharau.

[  ] Kuwa na ndoto kubwa lakini pia hatua za kuchukua kila siku hata kama ndogo.

[  ] Unataka kuingiza kipato cha mil. 5 kwa mwaka, Je kwa siku unatakiwa uingize sh? Utafanyaje?

[  ] Bahari ya mafanikio yako ipo kwenye faida ndogondogo unazoingiza kila siku; zilinde.

[  ] Bahari ya mafanikio yako ipo kwenye maarifa madogo madogo unayoyapata kila siku….yatumie.

[  ] Bahari ya utajiri wako ipo kwenye fedha ndogo unayotakiwa uwekeze kila siku, wiki au mwezi….wekeza kwa msimamo.

[  ] Bahari ya ufanisi wako wa kazi upo kwenye kuwahi kuamka na kuipangilia siku yako…amka mapema kila siku…

Hatua gani ndogo umekuwa ukizidharau?
Ziorodheshe kisha ziishi kwa msimamo huku ukilinda matokeo…….jipe muda kikombe cha mafanikio yako kitafurika….

Hata hivyo kitabu cha MWONGOZO WA KUTIMIZA MALENGO YAKO kimeelezea kiundani namna unavyoweza kujenga tabia ya kuchukua hatua kila siku kisha kufikia mafanikio makubwa. Habari njema ni kuwa utakipata kitabu hiki(Hardcopy/Softcopy) leo kwa bei ya ofa. Wasiliana nasi sasa kupitia 0752 206 899 kuwahi kitabu chako.

Karibu sana.

Mwl. Alfred Mwanyika
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *