Kama Unakithamini Kiandike!Kama Unakithamini Kiandike!
Kuna mawazo mengi ya thamani umeyapoteza kwa sababu hukuyaandika.. Umejaribu kujikumbusha…lakini hukumbuki…inakuuma….lakini ungeandika ungekumbuka kirahisi au ungeenda kufungua daftari/notebook yako kisha kujikumbusha. Usiishie kufikiri tu ..andika.[ ] Unapokiandika kitu unaiambia akili yako kuwa kitu hicho ni muhimu.[ ] Unapoandika kitu hicho kinakuwa wazi(clear) zaidi.[ ] Ukiandika utakumbuka.[ ] Ukiandika utatathimini.[ [...]