Wakiijua Biashara Yako Ndipo Utauza Sana
Kama Mapafu Yanavyoingiza Hewa Kwenye Mwili Wako Ili Uendelee Kuwa Hai,
Ndivyo Biashara Yako Inavyotakiwa Kuendelea Kuleta Wateja Ili Iendelee Kudumu;
Anza kutumia njia hizo 10 kuwafikia wateja wako.
Wateja wengine wa biashara yako wapo kwenye simu yako; kama huamini anza kumpigia watu, mtu mmoja baada ya mwingine waliopo kwenye kitabu cha simu yako “contacts “.
Watakushangaa mbona ulikuwa huwaambii juu ya biashara yako!
Usitumie simu yako kukomenti tu….tumia kuingiza fedha pia.
Kama hujapata kitabu cha UWEZO WA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA YAKO hakikisha umekipata leo kwa bei ya ofa.
Kitabu hiki ni mwongozo wa kuanzisha biashara kama bado, kuijengea mfumo biashara yako lakini kuikuza kwa kuongeza mauzo na faida pia. Wasiliana nasi kupitia 0752 206 899 kujipatia nakala yako.
“Unastahili zaidi ya unachokipata sasa “
Karibu sana.
Alfred Mwanyika
Trainer, Author and Entrepreneur
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899.