Month: December 2024

95% Ya Mafanikio Yako Yamejificha Hapa…..95% Ya Mafanikio Yako Yamejificha Hapa…..

Kama kuna siri kubwa umekuwa ukiitafuta juu ya kupata mafanikio,  basi leo utaifahamu. 95% ya mafanikio ambayo umeyatafuta kwa siku nyingi ipo yamejificha kwenye msimamo.  Ndiyo MSIMAMO. Msimamo ni kufanya kitu kimoja kwa kujirudia rudia bila kuacha mpaka upate matokeo unayoyataka. Licha ya kuweka nguvu ili kupata mafanikio  lakini hujafanikiwa [...]

Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Umezipeleka Wapi?Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Umezipeleka Wapi?

Kama pochi yako imechakaa ni ishara kuwa kuna fedha nyingi zimekuwa zikiingia humo. Swali muhimu la kujiuliza ni wapi umezipeleka fedha hizo? Kama kuna fedha nyingi ziliingia kwenye pochi yako na kuichakaza lakini hakuna fedha yoyote uliyobakia nayo, basi huu ni ushahidi tosha kuwa kila fedha iliyopita mikononi mwako,  uliitumia [...]