Je umeshakutana na Wewe Halisi?


Categories :

[  ] Kuna wewe HALISI tofauti na wewe wa sasa
[  ] Kuna wewe HALISI ambaye Mungu alikuumba
[  ] Wewe HALISI ni wa thamani kubwa sana
[  ] Wewe HALISI siyo wa kujidharau
[  ] Wew HALISI siyo masikini
[  ] Wewe HALISI siyo wa kujiona mnyonge mbele ya wengine
[  ] Wewe HALISI siyo wa kujiona upo duniani kwa bahati mbaya
[  ] Wewe HALISI sio wa kutouona mwisho mwema

Nini kimetokea kikapoteza uhalisia wako?
[  ] Dunia iliposema huwezi nawe ukakubali
[  ] Ulipofeli mtihani wa darasani ukaambiwa huna akili, ukakubali
[  ] Maneno mabaya uliyoambiwa na wazazi bado umeyabeba mpaka leo
[  ] Ugumu wa maisha unapoteza ndoto yako kubwa

Kama bado upoa hai bado una nafasi ya kumajenga wewe HALISI.
Mabadiliko ya ukweli yanaanza kwa kubadili mtazamo wako.

Nami nipo tayari kuungana na wewe kukusaidia kumrudisha WEWE HALISI. Kitabu cha AMSHA UWEZO WAKO HALISI kimekuwa msaada kwa watu wengi kufufua uhalisia wao unaoambatana na mafanikio makubwa.

Sasa ni zamu yako kutambua nguvu kubwa iliyolala ndani yako kisha kuiamsha na kuanza kupata mafanikio makubwa unayostahili.

Wasiliana nasi kupitia 0752 206 899 kupata kitabu hiki kisha kuanza kumuona wewe HALISI.

Karibu sana.

“Unastahili Zaidi Ya Unachokipata Sasa”

Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer

AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *