Ya kwanza ni ya kuzaliwa; lakini ya pili ni fumbo kwa wengi. Ukiitambua na kuiishi hii ya pili, basi mafanikio kamili yapo mikononi mwakoYa kwanza ni ya kuzaliwa; lakini ya pili ni fumbo kwa wengi. Ukiitambua na kuiishi hii ya pili, basi mafanikio kamili yapo mikononi mwako
Watu wengi wakiulizwa wataje siku mbili muhimu katika maisha yao, wengi watakutajia siku ya kuzaliwa. Siku ya pili imekuwa ikitofautiana kati ya mtu na mtu. Wapo watakaosema ni siku ya kuoa au kuolewa; siku ya kufa; siku ya kupata kazi ya uhakika; siku ya kufanikiwa; siku ya kupanda ndege; siku [...]