Month: February 2025

Shauku 5 Zilizobeba Kusudi La Maisha YakoShauku 5 Zilizobeba Kusudi La Maisha Yako

Rafiki! Kama kuna kitu kimoja unachotakiwa kwa namna yoyote ukitambue na kukiishi, basi ni kusudi la maisha yako. Kusudi la maisha yako ndiyo sababu ya wewe kuletwa hapa duniani, mengine ni ziada tu. Kati ya hasara ambayo mwanadamu huitengeneza, ni kuishi hapa duniani tena kwa muda mrefu lakini bila ya [...]

Je Unataka Kujenga Utajiri? Basi Jifunze Kwa Huyu Mkulima Makini. Wakati nikiwa bado mdogo kuna kitu ambacho nilikuwa nakiona wakifanya wazazi ambacho sasa natambua kuwa kumbe walikuwa wakiishi kanuni hii muhimu ya fedha. Baada ya kuvuna tu mahindi, kabla hawajayapukuchua, walikuwa wanachagua mahindi ambayo yamekomaa vizuri, yenye punje kubwa na [...]

Ukuu Wako Upo Kwenye Upekee Wako!Ukuu Wako Upo Kwenye Upekee Wako!

Huwezi kuwa wa kipekee kwa kuiga  wanachokifanya wengine. Huwezi kufanya maajabu kwa kufanya vitu vya kawaida. Huwezi kuacha kufanya vitu vya kipekee kama hutatambua uwezo wako wa pekee na kuuamsha. Uwezo wako wa pekee upo kwenye vitu unavyopenda kuvifanya na ukivifanya unapata matokeo ya upekee kiasi cha kuwashangaza wanaokuoga. Je [...]

Usife Kabla Hujatambua Kitu Hiki…Usife Kabla Hujatambua Kitu Hiki…

Kila mwanadamu aliletwa hapa duniani kwa kusudi maalumu. [  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna ukuu wako.[  ] Ndani ya kusudi  lako ndiko kuna mafanikio yako kamili.[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna furaha yako kamili.[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna uamusho wa uwezo wako wa [...]