Usife Kabla Hujatambua Kitu Hiki…


Categories :

Kila mwanadamu aliletwa hapa duniani kwa kusudi maalumu.

[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna ukuu wako.
[  ] Ndani ya kusudi  lako ndiko kuna mafanikio yako kamili.
[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna furaha yako kamili.
[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna uamusho wa uwezo wako wa kipekee.
[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna umaarufu wako.
[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna ukumbusho wako wa kuwa ulikuwepo hapa duniani.

Kama mpaka sasa unaishi mradi tu siku ziende..basi tambua bado hujaanza kuliishi kusudi la maisha yako.

Usikubali kutoweka hapa duniani kwa hasara, bila ya kutimiza nakusudi yako..

Kutambua kusudi la maisha kimekuwa kitu kigumu kwa watu wengi. Habari njema kwako ni kuwa wewe leo unakutana na mwongozo utakaokufanya utambue kusudi la maisha yako na kuliishi kikamilifu.

Mwongozo huu ni kitabu cha NGUVU YA KUSUDI. Usiendelee kupoteza muda zaidi…kipate kitabu kitabu hiki ili uanze kufanya kazi uliyotumwa.

Bonyeza hapa kujipatia mwongozo wako sasa; https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/86/

Kwa msaada wowote juu ya kufanikisha kupata kitabu hiki muhimu zaidi maishani mwako usisite kuwasiliana nasi kupitia 0752 206 899.

Karibu sana;

Alfred Mwanyika
Scientist, Author & Trainer
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *