Day: February 6, 2025

Je Unataka Kujenga Utajiri? Basi Jifunze Kwa Huyu Mkulima Makini. Wakati nikiwa bado mdogo kuna kitu ambacho nilikuwa nakiona wakifanya wazazi ambacho sasa natambua kuwa kumbe walikuwa wakiishi kanuni hii muhimu ya fedha. Baada ya kuvuna tu mahindi, kabla hawajayapukuchua, walikuwa wanachagua mahindi ambayo yamekomaa vizuri, yenye punje kubwa na [...]