Day: February 12, 2025

Hakuna “Expiry Date” Ya Ndoto Zako.Hakuna “Expiry Date” Ya Ndoto Zako.

Umebeba ndoto kubwa umebeba maisha yako. Vitu vikubwa havitokei kirahisi unahitaji kuvumilia. Magumu yatatokea lakini yasikatishe ndoto yako. Utahitaji nguvu ya ziada kutimiza ndoto yako,  hivyo usibaki kwenye mazoea(comfort zone). Kama hujafa ndoto yako haijafa. Hata kama watu watataka kuiua ndoto yako, shauku yako ndiyo maji ya kuipa ndoto yako [...]