Hakuna “Expiry Date” Ya Ndoto Zako.

Umebeba ndoto kubwa umebeba maisha yako.
Vitu vikubwa havitokei kirahisi unahitaji kuvumilia.
Magumu yatatokea lakini yasikatishe ndoto yako.
Utahitaji nguvu ya ziada kutimiza ndoto yako, hivyo usibaki kwenye mazoea(comfort zone).
Kama hujafa ndoto yako haijafa.
Hata kama watu watataka kuiua ndoto yako, shauku yako ndiyo maji ya kuipa ndoto yako uhai.
Utatimiza ndoto yako kama hutakubali kutoa SABABU ya kwa nini usitimize bali MATOKEO.
Natambua kuna muda hujisikii kuchukua hatua, unakatishwa tamaa, matokeo yanachelewa, unakutana na magumu….hapo ndipo unapohitaji NIDHAMU KALI.
Huku ni kujisukuma kuchukua hatua licha ya sababu zinazokuzuia na zinaonekana ni za kweli…
Je ndoto yako bado i hai? Au ulishaiua? Au inasuasua?
Unaweza kuiuhisha tena ndoto yako na kuitimiza kwa kasi sasa….
Kitabu cha JENGA NIDHAMU KALI ni mwongozo wa kukusaidia kutimiza ndoto kubwa uliyonayo bila kujali vikwazo vitakavyosimama mbele yako.
Hutaruhusu SABABU tana bali utaanza kutoa MATOKEO yatakayokusogeza kwenye mwisho mwema.
Bonyeza kiunganishi hiki kukipata kitabu hiki sasa; https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/67/
“2025 Unastahili Zaidi Ya Ulichokipata 2024”
Karibu sana.
Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899