Maadui Ni Wengi Sana Mbele Ya Malengo Yako, Unahitaji Kitu Hiki Ili Kushinda ..

Kama kuweka malengo bora tu ingekuwa ndiyo tiketi pekee ya kufanikiwa basi karibu kila mtu angekuwa amefanikiwa maishani mwake….
Lakini kuna vikwazo vingi sana vitaibuka mara tu utakapoanza ua kufikiria kuanza kutimiza malengo yako…
Ni wachache tu hufanikiwa kupenya vikwazo hivyo kisha kufanikiwa kutimiza malengo yao…
Watu hawa huwa na kitu kimoja cha utofauti kinachowafanya wafanikiwe angali wengine wakiendelea kuweka malengo bila matokeo kila nwaka.
Watu hawa wana kitu kinaitwa NIDHAMU KALI…hawa ni watu ambao hukubaliana na akili, mioyo na miili yao kuwa wanachotaka ni MATOKEO tu na siyo SABABU .
Kiufupi huamsha nguvu ya kujisukuma kuchukua hatua licha ya changamoto zitakazokuwa zimesimama mbele yao.
[ ] Wakiwa na HOFU juu ya malengo makubwa waliyonayo, hujikumbusha kuwa ndani yao kuna nguvu kubwa ya kufanya makubwa.
[ ] WAKIKATALIWA hujikumbusha kuwa haimaanishi kuwa hawana kitu cha thamani bali wanatakiwa waboreshe au wawasilishe kwa ubora zaidi.
[ ] MARAFIKI wakiwakatisha tamaa kwanza hujikumbusha kuwa si kila mtu atakuwa upande wao kwenye kutimiza ndoto kubwa…huendelea na wale wanaowakubali.
[ ] Hawakai na MAJUTO bali kwenye makosa waliyofanga hujifunza na si kujilaumu.
[ ] Hawakatisha TAMAA . Hata wakishindwa au matokeo yakachelewa huamini kuwa matokeo yatakuja wasipokata tamaa.
Huu uwe mwaka wako wa utofauti…uwashinde maadui uliowaacha wakunyanyase kwa miaka mingi.
Hata hivyo kitabu cha JENGA NIDHAMU KALI kimekuwa mkombozi wa watu wengi waliokuwa wanaweka malengo kila mwaka kisha kuambulia kiduchu au patupu.
Kwa sababu natamani upate matokeo ya utofauti mwaka huu,…utakipata kitabu hiki leo kwa bei ya ofa, sh 5,000 badala ya sh 30,000/.
Bonyeza hapa kukipata; https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/67/
"2025 Unastahili Zaidi Ya Ulichokipata 2024"
Karibu sana.
Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899