
Je Fedha Unazozipata Sasa Zitakutumikia Uzeeni?Je Fedha Unazozipata Sasa Zitakutumikia Uzeeni?
Kama kila fedha itakayotua mikononi mwako utaitumia yote bila ya kuweka akiba na kuwekeza, basi kuwa na uhakika kuwa utalazimika kufanya kazi maisha yako yote ili kupata fedha za kumudu hata mahitaji muhimu. Kama kuna changamoto kubwa watu wengi wanaipata, ni kufika uzeeni angali nguvu zimepungua halafu ukalazimika kufanya kazi [...]