Je Fedha Unazozipata Sasa Zitakutumikia Uzeeni?

Kama kila fedha itakayotua mikononi mwako utaitumia yote bila ya kuweka akiba na kuwekeza, basi kuwa na uhakika kuwa utalazimika kufanya kazi maisha yako yote ili kupata fedha za kumudu hata mahitaji muhimu.
Kama kuna changamoto kubwa watu wengi wanaipata, ni kufika uzeeni angali nguvu zimepungua halafu ukalazimika kufanya kazi kupata fedha za kununulia mahitaji muhimu kama chakula, mavazi,…
Warren Buffett alisema “Kama hutapata namna ya fedha kuingia mfukoni mwako angali umelala, basi itakulazimu wewe kufanya kazi kwa ajili ya fedha mpaka kufa”
Unahitaji kuanza au kuongeza kasi ya kufanya uwekezaji ambao utaingiza fedha bila ya wewe kufanya kazi moja kwa moja…hata ukizeeka fedha zitaendelea kuingia mfukoni mwako bila kwenda shambani.
Uwekezaji muhimu wa kufanya ni kwenye vipande, hisa na hatifungani. Hizi ni mshine zinazozalisha fedha bila ya wewe kufanya kazi.
Je hujui wapi uanzie au uongeze kasi vipi? Usiwe na wasiwasi, mwongozo upo, nao ni kitabu hiki cha SAFARI KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA.
Watu wengi waliokuwa na shida ya kuanza au kuwa na nidhamu ya kuwekeza, sasa wanawekeza kwa msimamo baada ya kupata mwongozo huu.
Leo ni zamu yako ya kuanza kuepuka kuitumikia fedha maisha yako yote. Bonyeza hapa kuupata mwongozo huu;
https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/74/
“2025 Unastahili Zaidi Ya Ulichokipata 2024”
Karibu sana.
Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899