Day: February 17, 2025

Si Kweli Kwamba Washindi Hawakutani Na Changamoto,  Bali Hawaziruhusu Ziwazuie Kufikia Hatima Yao….Si Kweli Kwamba Washindi Hawakutani Na Changamoto,  Bali Hawaziruhusu Ziwazuie Kufikia Hatima Yao….

[  ] Wanafanya wanavyoviogopa.[  ] Wanachukua hatari sahihi.[  ] Hawajali wengine wanawachukuliaje.[  ] Wakikataliwa wanaenda kujiboresha zaidi na kurudi imara zaidi.[  ] Inapowalazimu kutoka nje ya mazoea, wanajisukuma kufanya hivyo.[  ] Hata wanaposhindwa mara nyingi, hawakati tamaa. Kiufupi washindi walikutana na changamoto kama unazokutana nazo wewe leo. Lakini hawakuziacha ziwazuie [...]