Si Kweli Kwamba Washindi Hawakutani Na Changamoto,  Bali Hawaziruhusu Ziwazuie Kufikia Hatima Yao….


Categories :

[  ] Wanafanya wanavyoviogopa.
[  ] Wanachukua hatari sahihi.
[  ] Hawajali wengine wanawachukuliaje.
[  ] Wakikataliwa wanaenda kujiboresha zaidi na kurudi imara zaidi.
[  ] Inapowalazimu kutoka nje ya mazoea, wanajisukuma kufanya hivyo.
[  ] Hata wanaposhindwa mara nyingi, hawakati tamaa.

Kiufupi washindi walikutana na changamoto kama unazokutana nazo wewe leo.

Lakini hawakuziacha ziwazuie kufikia mafanikio kama wewe unavyotaka uziruhusu zikuzuie.

Ili uweze kufanikiwa licha ya changamoto zinazosimama mbele yako, huna budi kuwa na nidhamu kali.

Kuwa na nidhamu kali ni kuamsha nguvu ya kujisukuma kuchukua hatua licha ya changamoto zitakazosimama mbele yako.

Je ungependa uache kutoa SABABU ya kwa nini huchukui hatua na badala yake uanze kutoa MATOKEO?

Hilo linawezekana kabisa ukiwa na mwongozo wa JENGA NIDHAMU KALI. Huu utakusaidia kutambua KWA NINI kubwa kwenye lengo lako kisha wewe kufanikiwa kuamsha nguvu ya kujisukuma kushinda licha ya changamoto.

Tumechoka na SABABU zako, tunataka MATOKEO.  Bonyeza hapa kuupata mwongozo huu; https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/67/

*” 2025 Unastahili Zaidi Ya Ulichokipata 2024"*

Karibu sana.

Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer

AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *