Day: February 27, 2025

Unahitaji Ngazi Ya Kupandia Kipato Cha Juu Zaidi.Unahitaji Ngazi Ya Kupandia Kipato Cha Juu Zaidi.

Je umefikia hatua unajiona huwezi kupata fedha zaidi ya unazozipata sasa? Je fedha nyingi zimepita mikononi mwako lakini na wewe mwenyewe unashangaa zilikoenda? Je ukijitathmini kwa sasa unaona itakulazimu kuendelea kufanya kazi maisha yako yote ili kupata fedha za kuendesha maisha yako? Je licha ya elimu nyingine uliyonayo, lakini  bado [...]