Month: March 2025

Fedha Nyingi Zilipita Mikononi Mwake..Lakini Uzee ulimkaribia Angali Hana Fedha Yoyote Mfukoni Mwake.Fedha Nyingi Zilipita Mikononi Mwake..Lakini Uzee ulimkaribia Angali Hana Fedha Yoyote Mfukoni Mwake.

Abneri alitoa jasho jingi kuhakikisha anapata fedha mikononi mwake. Alianza kupata sh 100,000 kila mwezi lakini baadye kipato chake kilikua na kufika zaidi ya milioni 2 kwa mwezi. Lakini wakati wote kila kipato alichokipata alikitumia kwa kununua vitu ambavyo vilipoteza fedha yake kabisa…na vingine viliendelea kuchukua fedha yake mfukoni. Alipofikisha [...]

Ulizaliwa Unalia,  Usikubali Ufe Ukilia Pia.Ulizaliwa Unalia,  Usikubali Ufe Ukilia Pia.

Wakati unazaliwa ni wewe pekee ulikuwa unalia angali mama yako na watu wengine wakitabasamu na kucheka. Kuna kitu cha utofauti kinatakiwa kitokee wakati wa kufa. Wewe tu unatakiwa uwe unatabasamu kwenye jeneza angali watu wengine wakilia. Watu watatakiwa walie kwa sababu wewe ulikuwa mkombozi wao kwani kuna thamani kubwa uliyokuwa [...]

Siri 6 Za Mafanikio. Siri ya 4 imebeba 95% ya Mafanikio Yako.Siri 6 Za Mafanikio. Siri ya 4 imebeba 95% ya Mafanikio Yako.

Siri zipi utaanza kuziishi Leo? Kujifunza zaidi juu ya hazina ya uwezo mkubwa uliolala ndani yako na jinsi unavyoweza kuuamsha kupata mafanikio makubwa unayostahili bonyeza hapahttps://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/66/ Unastahili zaidi ya Ulichokipata sasa. Alfred MwanyikaAMSHA UWEZOwww.amshauwezo.co.tz [...]

Kwa Nini Umeitolea Fedha Jasho Jingi Lakini Bado Imekukimbia Mikononi Mwako?Kwa Nini Umeitolea Fedha Jasho Jingi Lakini Bado Imekukimbia Mikononi Mwako?

…..Ijue Sababu Upone. Kama kuna jasho jingi umeshawahi kulimwaga, basi fedha itakuwa ni sababu kubwa. Kama kuna mahangaiko makubwa umekuwa nayo katika maisha yako, basi ni juu ya fedha. Kama kuna tamaa kubwa ulizonazo maishani mwako, basi mojawapo na labda kubwa kuliko zote itakuwa ni fedha. Miongoni mwa malengo makubwa [...]

Hakuna Muda Utajiona UpoTayari…..Wewe Anza…Hakuna Muda Utajiona UpoTayari…..Wewe Anza…

Hujafika ulikostahili kuwa kwa sababu kila ukitaka uanze safari….unajiona bado hujawa tayari.[  ] Umekusanya na kula mtaji wa biashara mara nyingi sana, sasa anza biashara hiyo kwa mtaji huo mdogo…[  ] Umekifikiri sana kitu hicho, sasa kiandike na kuanza kukifanya.[  ] Umeahirisha sana kuonana na mtu muhimu ambaye atakusaidia kukusogeza [...]

Toka Tu Kwenye Mduara Huo Uone Maisha Yako HalisiToka Tu Kwenye Mduara Huo Uone Maisha Yako Halisi

Kama umekuwa ukikaa kwenye hali hii, ustarajie maajabu yoyote maishani mwako; ➢ Kutotaka kujisumbua.➢ Kutotaka kujisukuma.➢ Kutotaka kuumiza kichwa.➢ Kutotaka kutoka kwenye mazoea.➢ Kutotaka kujaribu.➢ Kutotaka kuaibika.➢ Kutotaka kukataliwa.➢ Kutotaka kushindwa.➢ Kukimbia hofu.➢ Kufanya ulicho na uhakika tu. Huku ni kung’ang’ania mazoea (comfort zone) ambayo hayana maajabu…. Je ungependa kuanza [...]

Maajabu Haya Unaweza Kuyatengeneza Maishani Mwako Pia.Maajabu Haya Unaweza Kuyatengeneza Maishani Mwako Pia.

’Vipande vya kioo vinaweza kukusanya miozi ya jua na kuiongezea nguvu kiasi cha kuweza kuunguza karatasi’’ Vipande vya kioo vikipangwa vizuri , huwa vinakusanya miale ya jua iliyotawanyika na kuiweka pamoja.Kwa sababu kuna nishati kwenye kila mwale, inavyokusanywa, nishati hiyo huungana na kuwa na nguvu kubwa zaidi za nguvu ya [...]