
Hakuna Muda Utajiona UpoTayari…..Wewe Anza…Hakuna Muda Utajiona UpoTayari…..Wewe Anza…
Hujafika ulikostahili kuwa kwa sababu kila ukitaka uanze safari….unajiona bado hujawa tayari.[ ] Umekusanya na kula mtaji wa biashara mara nyingi sana, sasa anza biashara hiyo kwa mtaji huo mdogo…[ ] Umekifikiri sana kitu hicho, sasa kiandike na kuanza kukifanya.[ ] Umeahirisha sana kuonana na mtu muhimu ambaye atakusaidia kukusogeza [...]