
Kwa Nini Umeitolea Fedha Jasho Jingi Lakini Bado Imekukimbia Mikononi Mwako?Kwa Nini Umeitolea Fedha Jasho Jingi Lakini Bado Imekukimbia Mikononi Mwako?
…..Ijue Sababu Upone. Kama kuna jasho jingi umeshawahi kulimwaga, basi fedha itakuwa ni sababu kubwa. Kama kuna mahangaiko makubwa umekuwa nayo katika maisha yako, basi ni juu ya fedha. Kama kuna tamaa kubwa ulizonazo maishani mwako, basi mojawapo na labda kubwa kuliko zote itakuwa ni fedha. Miongoni mwa malengo makubwa [...]