Kwa Nini Umeitolea Fedha Jasho Jingi Lakini Bado Imekukimbia Mikononi Mwako?

…..Ijue Sababu Upone.
Kama kuna jasho jingi umeshawahi kulimwaga, basi fedha itakuwa ni sababu kubwa.
Kama kuna mahangaiko makubwa umekuwa nayo katika maisha yako, basi ni juu ya fedha.
Kama kuna tamaa kubwa ulizonazo maishani mwako, basi mojawapo na labda kubwa kuliko zote itakuwa ni fedha.
Miongoni mwa malengo makubwa ambayo umeyaweka mwaka huu, naamini lengo juu fedha litakuwa juu sana.
Kadhalika kama kuna kitu unaweza kukitafuta maisha yako yote na kikaonekana hakijakutosha basi ni fedha?
Kwa nini umeitumikia fedha kiasi hicho lakini bado inatoroka mikononi mwako?
Kuna kitu kimoja kimekosekana kwako na kwa watu wengi. Na hicho ndicho sababu ya matatizo hayo yote.
Nakuhakikishia kuwa mahangaiko haya uliyonayo hayatakutoka mpaka upate kitu hicho.
Habari njema ni kuwa una uwezo wa kukipata kitu hicho kisha kubadili kabisa historia ya utumwa wa fedha uliyoishi nao kisha kujenga mwelekeo mpya wa uhuru wa kifedha.
Kitu hicho kinachokosekana ni AKILI YA FEDHA. Aha! Nimeiona akili yako ilivyoshangaa kama kweli yenyewe haina akili.
Ndiyo! Unahitaji akili zaidi kufanya vuzuri zaidi kwenye maamuzi na vitendo juu ya fedha.
Unahitaji akili ya fedha kwenye maeneo haya muhimu ya fedha; KIPATO, MATUMIZI, AKIBA, UWEKEZAJI, MADENI na UTUNZAJI.
Hizi ni akili 6 unazotakiwa kuzijenga ili kuishinda michezo yote ya fedha kisha kufikia uhuru wa kifedha, kama siyo utalazimika kuendelea kutoa jasho kwa ajili ya fedha mpaka utakapokuwa mzee na kuingia kaburini.
Akili hizo 6 zipo kwenye kitabu cha AKILI YA FEDHA . Bei halisi ya kitabu hiki ni sh 30,000 lakini leo unakipata kwa bei ya ofa sh 3,000 tu.
Lipia sh 3,000 mpesa 0752 206 899(Alfred Mwanyika), nawe utapokea kitabu chako ndani ya dak 3. Au bonyeza hapa https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/85/
“Unastahili zaidi ya unachokipata sasa”
Karibu sana.
Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899