Siri 6 Za Mafanikio. Siri ya 4 imebeba 95% ya Mafanikio Yako.


Categories :
  1. KAZI KUBWA: Usisubiri bahati. Hakuna mbadala wa kazi. Weka kazi kubwa
  2. UVUMILIVU .  Hakuna makubwa yanayopatikana kirahisi. Kupoteza uvumilivu ni kupoteza shindano.
  3. KAFARA. Haimaanishi uue mtu, bali kuna muda unatakiwa uacha vizuri(starehe) ili upate unavyostahili.
  4. MSIMAMO. Kuna fursa mpya kila siku. Chagua kitu kimoja kikubwa na cha kwako…komaa nacho hicho. Hii imebeba 95% ya mafanikio yako.
  5. NIDHAMU. Fanya kilicho sahihi hata kama hujisikii.
  6. JIAMINI.  Watakuambia huwezi..usiwasikilize…sikiliza moyo wako.

Siri zipi utaanza kuziishi Leo?

Kujifunza zaidi juu ya hazina ya uwezo mkubwa uliolala ndani yako na jinsi unavyoweza kuuamsha kupata mafanikio makubwa unayostahili bonyeza hapa
https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/66/

Unastahili zaidi ya Ulichokipata sasa.

Alfred Mwanyika
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *